Leviticus 15:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Waambieni Waisraeli hivi: Mwanamume yeyote akitokwa na usaha, usaha huo wamfanya kuwa najisi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Semeni na Waisraeli mwaambie: ‘Mtu yeyote anapotokwa na usaha mwilini, usaha huo ni najisi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haya, semeni na wana wa Israeli, mkawaambie, Mtu ye yote atakapokuwa na kisonono kimtokacho mwilini mwake, atakuwa najisi kwa ajili ya kisonono chake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Waambieni Waisraeli hivi: Mwanamume yeyote akitokwa na usaha, usaha huo wamfanya kuwa najisi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Semeni na Waisraeli na mkawaambie: ‘Wakati mtu ye yote anapotokwa na usaha mwilini, usaha huo ni najisi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Semeni na Waisraeli mwaambie: ‘Wakati mtu yeyote anapotokwa na usaha mwilini, usaha huo ni najisi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haya, semeni na wana wa Israeli, mkawaambie, Mtu yeyote atakapokuwa na kisonono na kutokwa usaha mwilini mwake, atakuwa najisi kwa ajili ya kisonono chake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Waambieni Waisraeli hivi: Mwanamume yeyote akitokwa na usaha, usaha huo wamfanya kuwa najisi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Semeni na wana wa Isiraeli na kuwaambia: Mtu mume ye yote akiwa mwenye kisonono mwilini mwake ni mwenye uchafu kwa ajili ya hicho kisonono chake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haya, semeni na wana wa Israeli, mkawaambie, Mtu ye yote atakapokuwa na kisonono kimtokacho mwilini mwake, atakuwa najisi kwa ajili ya kisonono chake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwaambie Waisraeli hivi: Mwanaume yeyote akitokwa na usaha, usaha huo unamufanya kuwa muchafu.