Leviticus 15:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kitu chochote anacholalia au kukalia wakati yu najisi, kitakuwa najisi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Chochote atakacholalia wakati wake wa hedhi kitakuwa najisi, na chochote atakachokikalia kitakuwa najisi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kitu cho chote akilaliacho katika kutengwa kwake kitakuwa najisi; na kila kitu ambacho akiketia kitakuwa najisi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kitu chochote anacholalia au kukalia wakati yu najisi, kitakuwa najisi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Cho chote atakacholalia wakati wake wa hedhi kitakuwa najisi, na cho chote atakachokikalia kitakuwa najisi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Chochote atakacholalia wakati wake wa hedhi kitakuwa najisi, na chochote atakachokikalia kitakuwa najisi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kitu chochote ambacho anakalia katika kutengwa kwake kitakuwa najisi; na kila kitu ambacho amekalia kitakuwa najisi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kitu chochote anacholalia au kukalia wakati yu najisi, kitakuwa najisi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo yote, atakayoyalalia siku hizo za kutengwa kwake, yatakuwa yenye uchafu; nayo yote, atakayoyakalia, yatakuwa yenye uchafu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kitu cho chote akilaliacho katika kutengwa kwake kitakuwa najisi; na kila kitu ambacho akiketia kitakuwa najisi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kitu chochote anacholalia au kuikalia wakati wa kutengwa kwake kitakuwa kichafu.