Leviticus 15:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama mwanamume akilala na mwanamke huyo na damu ya huyo mwanamke ikamdondokea huyo mwanamume, basi, mwanamume huyo atakuwa najisi kwa muda wa siku saba. Kitanda chochote atakacholalia huyo mwanamume kitakuwa najisi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Ikiwa mwanaume atalala naye na ile damu ya mwezi ikamgusa, atakuwa najisi kwa siku saba; kitanda chochote atakachokilalia huyo mwanaume kitakuwa najisi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mtu ye yote atakayelala na mwanamke na unajisi ukawa juu yake, atakuwa najisi muda wa siku saba; na kila kitanda alichokilalia kitakuwa najisi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama mwanamume akilala na mwanamke huyo na damu ya huyo mwanamke ikamdondokea huyo mwanamume, basi, mwanamume huyo atakuwa najisi kwa muda wa siku saba. Kitanda chochote atakacholalia huyo mwanamume kitakuwa najisi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Ikiwa mwanaume atalala naye na ile damu ya mwezi ikamgusa, atakuwa najisi kwa siku saba; kitanda cho chote atakachokilalia huyo mwanaume kitakuwa najisi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Ikiwa mwanaume atalala naye na ile damu ya mwezi ikamgusa, atakuwa najisi kwa siku saba; kitanda chochote atakachokilalia huyo mwanaume kitakuwa najisi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mtu yeyote atakayelala na mwanamke na unajisi ukawa juu yake, atakuwa najisi muda wa siku saba; na kila kitanda alichokilalia kitakuwa najisi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama mwanamume akilala na mwanamke huyo na damu ya huyo mwanamke ikamdondokea huyo mwanamume, basi, mwanamume huyo atakuwa najisi kwa muda wa siku saba. Kitanda chochote atakacholalia huyo mwanamume kitakuwa najisi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena mtu akilala naye, akiwa miezini, atakuwa mwenye uchafu siku saba, hata kilalo chake, atakachokilalia, kitakuwa chenye uchafu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mtu ye yote atakayelala na mwanamke na unajisi ukawa juu yake, atakuwa najisi muda wa siku saba; na kila kitanda alichokilalia kitakuwa najisi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama mwanaume akilala na mwanamuke huyo na damu ya huyo mwanamuke ikimudondokea huyo mwanaume, basi, mwanaume huyo atakuwa muchafu kwa muda wa siku saba. Kitanda chochote huyu mwanaume atakacholalia kitakuwa kichafu.