Leviticus 15:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kitanda chochote anacholalia wakati huo au kiti chochote anachokalia, kitakuwa najisi sawa kama wakati wa unajisi wake wa kutokwa damu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kitanda chochote atakachokilalia huyo mwanamke wakati anaendelea kutokwa na damu kitakuwa najisi, kama kilivyokuwa kitanda chake wakati wa siku zake za hedhi, na chochote atakachokalia kitakuwa najisi, kama wakati wake wa hedhi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kila kitanda akilaliacho katika siku zote za kutoka damu kitakuwa kama kitanda cha kutengwa kwake; na kila kitu atakachokilalia kitakuwa najisi, kama unajisi wa kutengwa kwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kitanda chochote anacholalia wakati huo au kiti chochote anachokalia, kitakuwa najisi sawa kama wakati wa unajisi wake wa kutokwa damu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kitanda cho chote atakachokilalia huyo mwanamke wakati akiendelea kutokwa na damu kitakuwa najisi, kama kilivyokuwa kitanda chake wakati wa siku zake za hedhi, na cho chote atakachokalia kitakuwa najisi, kama wakati wake wa hedhi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kitanda chochote atakachokilalia huyo mwanamke wakati anaendelea kutokwa na damu kitakuwa najisi, kama kilivyokuwa kitanda chake wakati wa siku zake za hedhi, na chochote atakachokalia kitakuwa najisi, kama wakati wake wa hedhi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kila kitanda akilaliacho katika siku zote za kutoka damu kitakuwa kama kitanda cha kutengwa kwake; na kila kitu atakachokilalia kitakuwa najisi, kama unajisi wa kutengwa kwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kitanda chochote anacholalia wakati huo au kiti chochote anachokalia, kitakuwa najisi sawa kama wakati wa unajisi wake wa kutokwa damu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kilalo cho chote, atakachokilalia siku zote za kutoka damu zake, ni chenye uchafu, kama kilalo chake cha kuwa miezini kilivyo chenye uchafu; nacho kitu cho chote, atakachokikalia, ni chenye uchafu, kama kilivyo chenye uchafu siku zake za kuwa miezini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kila kitanda akilaliacho katika siku zote za kutoka damu kitakuwa kama kitanda cha kutengwa kwake; na kila kitu atakachokilalia kitakuwa najisi, kama unajisi wa kutengwa kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kitanda chochote anacholalia wakati ule au kiti chochote anachoikalia, kitakuwa kichafu sawa kama wakati wake wa kutengwa.