Leviticus 15:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku ya nane atachukua hua wawili au makinda mawili ya njiwa na kumletea kuhani mlangoni mwa hema la mkutano.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku ya nane ni lazima achukue hua wawili au makinda wawili wa njiwa, na kumletea kuhani kwenye mlango wa Hema la Kukutania.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku ya nane atajipatia hua wawili, au makinda mawili ya njiwa, na kumletea kuhani, mlangoni pa hema ya kukutania.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku ya nane atachukua hua wawili au makinda mawili ya njiwa na kumletea kuhani mlangoni mwa hema la mkutano.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku ya nane ni lazima achukue hua wawili au makinda mawili ya njiwa na kuyaleta kwa kuhani kwenye mlango wa Hema la Kukutania.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku ya nane ni lazima achukue hua wawili au makinda mawili ya njiwa, na kumletea kuhani kwenye mlango wa Hema la Kukutania.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku ya nane atajipatia hua wawili, au makinda mawili ya njiwa, na kumletea kuhani, mlangoni pa hema ya kukutania.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku ya nane atachukua hua wawili au makinda mawili ya njiwa na kumletea kuhani mlangoni mwa hema la mkutano.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ya nane na achukue hua wawili au makinda mawili ya njiwa manga, awapeleke kwa mtambikaji penye kuliingilia Hema la Mkutano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku ya nane atajipatia hua wawili, au makinda mawili ya njiwa, na kumletea kuhani, mlangoni pa hema ya kukutania.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku ya nane atatwaa hua wawili au vitoto viwili vya njiwa na kumuletea kuhani kwenye mulango wa hema la mukutano.