Leviticus 15:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na ufuatao ni mwongozo kuhusu najisi hiyo: Muda wote anapotokwa na usaha au usaha unapokuwa umezuiwa ndani yake, mtu huyo ni najisi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Iwe unaendelea kutiririka kutoka mwilini mwake au umeziba, utamfanya najisi. Hivi ndivyo usaha wake utakavyomletea unajisi:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na unajisi wake katika kisonono chake ni huu; kama mwili wake unachuruzika kisonono chake, au kama kisonono chake kimezuiwa mwilini mwake, ni unajisi wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na ufuatao ni mwongozo kuhusu najisi hiyo: muda wote anapotokwa na usaha au usaha unapokuwa umezuiwa ndani yake, mtu huyo ni najisi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Iwe kwamba unaendelea kutiririka kutoka mwilini mwake au umeziba, utamfanya kuwa najisi. Hivi ndivyo usaha wake utakavyomletea unajisi:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Iwe unaendelea kutiririka kutoka mwilini mwake au umeziba, utamfanya kuwa najisi. Hivi ndivyo usaha wake utakavyomletea unajisi:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na unajisi wake katika kisonono chake ni huu; kama mwili wake unachuruzika kisonono chake, au kama kisonono chake kimezuiwa mwilini mwake, ni unajisi wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na ufuatao ni mwongozo kuhusu najisi hiyo: Muda wote anapotokwa na usaha au usaha unapokuwa umezuiwa ndani yake, mtu huyo ni najisi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao uchafu, anaoupata kwa kisonono chake, ni wa namna hii: kama mwili wake unachuruzika usaha wa kisonono chake, au kama mwili wake unaukomeshakomesha, uchafu ni uo huo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na unajisi wake katika kisonono chake ni huu; kama mwili wake unachuruzika kisonono chake, au kama kisonono chake kimezuiwa mwilini mwake, ni unajisi wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na hii ndiyo sheria juu ya uchafu huo: muda wote anapotokwa na usaha au usaha unapokuwa umezuiwa ndani yake, mutu yule ni muchafu.