Leviticus 15:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hiyo ndiyo sheria kuhusu mwanamume anayetokwa na usaha na anayetokwa na shahawa na kuwa najisi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haya ni masharti kwa ajili ya mtu mwenye kutokwa na usaha, kwa ajili ya yeyote atakayetokwa na shahawa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hii ndiyo sheria ya mwenye kisonono, na ya mtu ambaye shahawa yake yamtoka, akawa na unajisi kwa hiyo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hiyo ndiyo sheria kuhusu mwanamume anayetokwa na usaha na anayetokwa na shahawa na kuwa najisi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Haya ni masharti kwa ajili ya mtu mwenye kutokwa na usaha, kwa ajili ya ye yote atakayetokwa na shahawa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haya ni masharti kwa ajili ya mtu mwenye kutokwa na usaha, kwa ajili ya yeyote atakayetokwa na shahawa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hii ndiyo sheria ya mwenye kisonono, na ya mtu ambaye shahawa yake inamtoka, akawa na unajisi kwa ajili yake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hiyo ndiyo sheria kuhusu mwanamume anayetokwa na usaha na anayetokwa na shahawa na kuwa najisi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya ndiyo maonyo ya kufundisha mambo ya mwenye kisonono nayo yake anayejipatia uchafu kwa kutokwa na mbegu akilala;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hii ndiyo sheria ya mwenye kisonono, na ya mtu ambaye shahawa yake yamtoka, akawa na unajisi kwa hiyo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hiyo ndiyo sheria juu ya mwanaume anayetokwa na usaha na anayetokwa na mbegu za uzazi na kuwa muchafu.