Leviticus 15:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kitanda chochote atakacholalia au atakachokalia, kitakuwa najisi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Kitanda chochote atakacholalia mtu mwenye kutokwa na usaha kitakuwa najisi, na chochote atakachokalia kitakuwa najisi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kitanda cho chote akilaliacho mwenye kisonono kitakuwa najisi; na kitu cho chote ambacho akiketia kitakuwa najisi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kitanda chochote atakacholalia au atakachokalia, kitakuwa najisi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kitanda cho chote atakacholala mtu mwenye kutokwa na usaha kitakuwa najisi, na cho chote atakachokalia kitakuwa najisi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Kitanda chochote atakacholalia mtu mwenye kutokwa na usaha kitakuwa najisi, na chochote atakachokalia kitakuwa najisi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kitanda chochote akilaliacho mwenye kisonono kitakuwa najisi; na kitu chochote atakachokalia kitakuwa najisi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kitanda chochote atakacholalia au atakachokalia, kitakuwa najisi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kilalo cho chote, mwenye kisonono atakachokilalia, ni chenye uchafu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kitanda cho chote akilaliacho mwenye kisonono kitakuwa najisi; na kitu cho chote ambacho akiketia kitakuwa najisi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kitanda chochote atakacholalia au atakachoikalia, kitakuwa kichafu.