Leviticus 15:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tandiko lolote la mnyama aliloketia mtu anayetokwa na usaha litakuwa najisi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Kila tandiko ambalo mtu huyo atalikalia wakati wa kupanda mnyama litakuwa najisi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na tandiko lo lote atakalolipanda mwenye kisonono litakuwa najisi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tandiko lolote la mnyama aliloketia mtu anayetokwa na usaha litakuwa najisi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kila tandiko ambalo mtu huyo atalikalia wakati wa kupanda mnyama litakuwa najisi
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Kila tandiko ambalo mtu huyo atalikalia wakati wa kupanda mnyama litakuwa najisi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na tandiko lolote atakalolipanda mwenye kisonono litakuwa najisi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tandiko lolote la mnyama aliloketia mtu anayetokwa na usaha litakuwa najisi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo matandiko yo yote, mwenye kisonono atakayoyakalia akipanda, yatakuwa yenye uchafu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na tandiko lo lote atakalolipanda mwenye kisonono litakuwa najisi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tandiko lolote la nyama ambalo mutu anayetokwa na usaha aliikalia litakuwa chafu.