Leviticus 16:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu alizungumza na Mose, baada ya wana wawili wa Aroni kufa wakati ule walipomkaribia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu akasema na Musa baada ya kifo cha wale wana wawili wa Haruni waliokufa walipokaribia mbele za Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akasema na Musa, baada ya kufa kwa hao wana wawili wa Haruni, walipokaribia mbele za Bwana, wakafa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu alizungumza na Mose, baada ya wana wawili wa Aroni kufa wakati ule walipomkaribia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA akasema na Mose baada ya kifo cha wana wawili wa Aroni waliokufa walipokaribia mbele za BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana akasema na Musa baada ya kifo cha wale wana wawili wa Haruni waliokufa walipokaribia mbele za bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akasema na Musa, baada ya kufa kwa hao wana wawili wa Haruni, walipokaribia mbele za BWANA, wakafa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu alizungumza na Mose, baada ya wana wawili wa Aroni kufa wakati ule walipomkaribia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wale wana wawili wa Haroni walipouawa kwa kumtokea Bwana kwa njia isiyopasa, walipokwisha kufa, Bwana akasema na Mose;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akasema na Musa, baada ya kufa kwa hao wana wawili wa Haruni, walipokaribia mbele za BWANA, wakafa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe akazungumuza na Musa, kisha kufa kwa wana wawili wa Haruni wakati ule walipomukaribia.