Leviticus 16:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini yule beberu aliyetakiwa na kura kwa ajili ya Azazeli atatolewa mbele ya Mwenyezi-Mungu akiwa hai ili kufanya ibada ya upatanisho kuhani atamwacha aende jangwani kwa Azazeli, ili kuondoa dhambi za jumuiya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini mbuzi aliyechaguliwa kwa kura kuwa wa kubebeshwa dhambi atatolewa akiwa hai mbele za Mwenyezi Mungu, atumike kwa kufanya upatanisho kwa kumwacha aende jangwani akiwa amebebeshwa dhambi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali yule mbuzi aliyeangukiwa na kura kwa ajili ya Azazeli atawekwa hai mbele za Bwana ili kumfanyia upatanisho, ili kumpeleka jangwani kwa ajili ya Azazeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini yule beberu aliyetakiwa na kura kwa ajili ya Azazeli atatolewa mbele ya Mwenyezi-Mungu akiwa hai ili kufanya ibada ya upatanisho kuhani atamwacha aende jangwani kwa Azazeli, ili kuondoa dhambi za jumuiya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini mbuzi aliyechaguliwa kwa kura kuwa wa Azazeli atatolewa akiwa hai mbele za BWANA atumike kwa kufanya upatanisho kwa kumwacha aende jangwani kama aliyebebeshwa dhambi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini mbuzi aliyechaguliwa kwa kura kuwa wa kubebeshwa dhambi atatolewa akiwa hai mbele za bwana, atumike kwa kufanya upatanisho kwa kumwacha aende jangwani akiwa amebebeshwa dhambi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali yule mbuzi aliyeangukiwa na kura kwa ajili ya Azazeli atawekwa hai mbele za BWANA ili kumfanyia upatanisho, ili kumpeleka jangwani kwa ajili ya Azazeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini yule beberu aliyetakiwa na kura kwa ajili ya Azazeli atatolewa mbele ya Mwenyezi-Mungu akiwa hai ili kufanya ibada ya upatanisho kuhani atamwacha aende jangwani kwa Azazeli, ili kuondoa dhambi za jumuiya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye dume aliyeangukiwa na kura ya Azazeli na amsimamishe mbele ya Bwana, akiwa mzima, atumiwe kuwapatia upozi, wakimtuma kujiendea kwa Azazeli nyikani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali yule mbuzi aliyeangukiwa na kura kwa ajili ya Azazeli atawekwa hai mbele za BWANA ili kumfanyia upatanisho, ili kumpeleka jangwani kwa ajili ya Azazeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini yule beberu aliyeangukiwa na kura kwa ajili ya Azazeli atatolewa mbele ya Yawe akiwa muzima. Kwa kufanya ibada ya upatanisho, kuhani atamwacha aende katika jangwa kwa Azazeli, kwa ajili ya zambi za jamii.