Leviticus 16:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu atachukua chetezo na kutwaa makaa madhabahuni mbele ya Mwenyezi-Mungu na ubani konzi mbili uliosagwa vizuri sana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atachukua chetezo kilichojaa makaa yanayowaka kutoka madhabahuni mbele za Mwenyezi Mungu, na konzi mbili za uvumba laini uliosagwa vizuri wenye harufu, na kuvipeleka nyuma ya pazia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha atatwaa chetezo kilichojaa makaa ya moto yatokayo katika madhabahu iliyo mbele za Bwana, na konzi mbili za uvumba mzuri uliopondwa sana, mikononi mwake, naye atauleta ndani ya pazia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu atachukua chetezo na kutwaa makaa madhabahuni mbele ya Mwenyezi-Mungu na ubani konzi mbili uliosagwa vizuri sana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atachukua chetezo kilichojaa makaa yanayowaka kutoka madhabahuni mbele za BWANA na konzi mbili za uvumba laini uliosagwa vizuri wenye harufu na kuvipeleka nyuma ya pazia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atachukua chetezo kilichojaa makaa yanayowaka kutoka madhabahuni mbele za bwana, na konzi mbili za uvumba laini uliosagwa vizuri wenye harufu, na kuvipeleka nyuma ya pazia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha atatwaa chetezo kilichojaa makaa ya moto yatokayo katika madhabahu iliyo mbele za BWANA, na konzi mbili za uvumba mzuri uliopondwa sana, mikononi mwake, naye atauleta ndani ya pazia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu atachukua chetezo na kutwaa makaa madhabahuni mbele ya Mwenyezi-Mungu na ubani konzi mbili uliosagwa vizuri sana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha na achukue chetezo kinachojaa makaa ya moto yatokayo mezani pa kutambikia mbele ya Bwana na magao mawili ya mavukizo yanukayo vizuri yaliyopondwa kuwa unga, aingie nayo katika chumba cha mbele ya lile pazia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha atatwaa chetezo kilichojaa makaa ya moto yatokayo katika madhabahu iliyo mbele za BWANA, na konzi mbili za uvumba mzuri uliopondwa sana, mikononi mwake, naye atauleta ndani ya pazia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu atatwaa chetezo na kutwaa makaa toka kwenye mazabahu mbele ya Yawe na mikono miwili ya ubani uliosagwa vizuri sana na atauleta ndani ya pazia.