Leviticus 16:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati Aroni anafanya ibada ya upatanisho kwa ajili yake mwenyewe, jamaa yake na jamii nzima ya Israeli, kamwe asiwepo mtu yeyote ndani ya hema la mkutano hadi atakapokuwa amemaliza na kutoka nje.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu yeyote haruhusiwi kuwa ndani ya Hema la Kukutania, kuanzia wakati Haruni anapoingia kufanya upatanisho katika Patakatifu pa Patakatifu, hadi atakapotoka nje, baada ya kujifanyia upatanisho yeye mwenyewe na nyumba yake, pamoja na jumuiya yote ya Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala hapatakuwa na mtu katika hema ya kukutania, wakati aingiapo ili kufanya upatanisho katika patakatifu, hata atakapotoka nje, baada ya kufanya upatanisho kwa ajili ya nafsi yake mwenyewe, na kwa ajili ya nyumba yake, na kwa ajili ya mkutano wote wa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati Aroni anafanya ibada ya upatanisho kwa ajili yake mwenyewe, jamaa yake na jamii nzima ya Israeli, kamwe asiwepo mtu yeyote ndani ya hema la mkutano hadi atakapokuwa amemaliza na kutoka nje.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtu ye yote haruhusiwi kuwa ndani ya Hema la Kukutania kuanzia wakati Aroni anapoingia kufanya upatanisho katika Patakatifu pa Patakatifu mpaka atakapotoka nje, baada ya kujifanyia upatanisho yeye mwenyewe, nyumba yake pamoja na jumuiya yote ya Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu yeyote haruhusiwi kuwa ndani ya Hema la Kukutania, kuanzia wakati Haruni anapoingia kufanya upatanisho katika Patakatifu pa Patakatifu, hadi atakapotoka nje, baada ya kujifanyia upatanisho yeye mwenyewe na nyumba yake, pamoja na jumuiya yote ya Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala hapatakuwa na mtu katika hema ya kukutania, wakati aingiapo ili kufanya upatanisho katika patakatifu, hata atakapotoka nje, baada ya kufanya upatanisho kwa ajili ya nafsi yake mwenyewe, na kwa ajili ya nyumba yake, na kwa ajili ya mkutano wote wa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati Aroni anafanya ibada ya upatanisho kwa ajili yake mwenyewe, jamaa yake na jamii nzima ya Israeli, kamwe asiwepo mtu yeyote ndani ya hema la mkutano hadi atakapokuwa amemaliza na kutoka nje.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mle Hemani mwa Mkutano msiwe na mtu ye yote, akiingia kupoza mle Patakatifu, mpaka atakapotoka akiisha kujipatia upozi mwenyewe nao wa mlango wake nao mkutano wote wa Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala hapatakuwa na mtu katika hema ya kukutania, wakati aingiapo ili kufanya upatanisho katika patakatifu, hata atakapotoka nje, baada ya kufanya upatanisho kwa ajili ya nafsi yake mwenyewe, na kwa ajili ya nyumba yake, na kwa ajili ya mkutano wote wa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati Haruni anafanya ibada ya upatanisho kwa ajili yake mwenyewe, jamaa yake na jamii nzima ya Israeli, kusikuwe hata mutu yeyote ndani ya hema la mukutano mpaka wakati atakapokuwa amemaliza na kutoka inje.