Leviticus 16:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atainyunyizia madhabahu hiyo damu kwa kidole chake mara saba na hivyo kuiweka wakfu na kuitakasa unajisi wote wa watu wa Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atanyunyiza sehemu ya hiyo damu juu ya madhabahu kwa kidole chake mara saba, ili kuitakasa na kuiweka wakfu kutokana na unajisi wa Waisraeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena atanyunyiza baadhi ya damu juu ya madhabahu kwa kidole chake mara saba, na kuitakasa, ili machafu yote ya wana wa Israeli yaitoke.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atainyunyizia madhabahu hiyo damu kwa kidole chake mara saba na hivyo kuiweka wakfu na kuitakasa unajisi wote wa watu wa Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atanyunyiza baadhi ya hiyo damu juu ya madhabahu kwa kidole chake mara saba ili kuitakasa na kuiweka wakfu kutokana na unajisi wa Waisraeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atanyunyiza baadhi ya hiyo damu juu ya madhabahu kwa kidole chake mara saba, ili kuitakasa na kuiweka wakfu kutokana na unajisi wa Waisraeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena atanyunyiza baadhi ya damu juu ya madhabahu kwa kidole chake mara saba, na kuitakasa, ili machafu yote ya wana wa Israeli yaitoke.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atainyunyizia madhabahu hiyo damu kwa kidole chake mara saba na hivyo kuiweka wakfu na kuitakasa unajisi wote wa watu wa Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha ainyunyizie damu kwa kidole chake mara saba, aieue na kuitakasa, machafu ya wana wa Isiraeli yaitoke.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena atanyunyiza baadhi ya damu juu ya madhabahu kwa kidole chake mara saba, na kuitakasa, ili machafu yote ya wana wa Israeli yaitoke.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atainyunyizia mazabahu hiyo damu kwa kidole chake mara saba na hivyo ataisafisha na kuitakasa toka uchafu wote wa watu wa Israeli.