Leviticus 16:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Baada ya Aroni kumaliza kupatakasa mahali patakatifu, hema la mkutano na madhabahu, ndipo atamtoa yule beberu kwa ajili ya Azazeli, akiwa hai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Haruni atakapokuwa amemaliza kufanya upatanisho kwa ajili ya Patakatifu pa Patakatifu, Hema la Kukutania na madhabahu, atamleta mbele yule mbuzi aliye hai.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akiisha kufanya upatanisho kwa ajili ya mahali patakatifu, na hema ya kukutania, na madhabahu, atamleta yule mbuzi aliye hai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Baada ya Aroni kumaliza kupatakasa mahali patakatifu, hema la mkutano na madhabahu, ndipo atamtoa yule beberu kwa ajili ya Azazeli, akiwa hai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Aroni atakapokuwa amemaliza kufanya upatanisho kwa ajili ya Patakatifu pa Patakatifu, Hema la Kukutania na madhabahu, atamleta mbele yule mbuzi aliye hai.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Haruni atakapokuwa amemaliza kufanya upatanisho kwa ajili ya Patakatifu pa Patakatifu, Hema la Kukutania na madhabahu, atamleta mbele yule mbuzi aliye hai.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akiisha kufanya upatanisho kwa ajili ya mahali patakatifu, na hema ya kukutania, na madhabahu, atamleta yule mbuzi aliye hai.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Baada ya Aroni kumaliza kupatakasa mahali patakatifu, hema la mkutano na madhabahu, ndipo atamtoa yule beberu kwa ajili ya Azazeli, akiwa hai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akimaliza kupapatia upozi Patakatifu na Hema la Mkutano nayo meza ya kutambikia na amlete yule dume la mbuzi aliye mzima bado.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akiisha kufanya upatanisho kwa ajili ya mahali patakatifu, na hema ya kukutania, na madhabahu, atamleta yule mbuzi aliye hai.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Haruni kumaliza kutakasa Pahali Patakatifu, hema la mukutano na mazabahu, ndipo atamutoa yule beberu kwa ajili ya Azazeli, akiwa muzima.