Leviticus 16:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kisha Aroni atarudi ndani ya hema la mkutano, atavua yale mavazi aliyovaa alipoingia mahali patakatifu sana na kuyaacha humo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kisha Haruni ataenda ndani ya Hema la Kukutania na kuvua yale mavazi ya kitani aliyoyavaa kabla ya kuingia katika Patakatifu pa Patakatifu, naye atayaacha pale.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Haruni ataingia katika hema ya kukutania, naye atavua mavazi yake ya kitani, aliyoyavaa alipoingia katika patakatifu, atayaacha humo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kisha Aroni atarudi ndani ya hema la mkutano, atavua yale mavazi aliyovaa alipoingia mahali patakatifu sana na kuyaacha humo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kisha Aroni atakwenda ndani ya Hema la Kukutania na kuvua yale mavazi ya kitani aliyoyavaa kabla ya kuingia katika Patakatifu pa Patakatifu, naye atayaacha pale.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kisha Haruni ataenda ndani ya Hema la Kukutania na kuvua yale mavazi ya kitani aliyoyavaa kabla ya kuingia katika Patakatifu pa Patakatifu, naye atayaacha pale.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Haruni ataingia katika hema ya kukutania, naye atavua mavazi yake ya kitani, aliyoyavaa alipoingia katika patakatifu, atayaacha humo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kisha Aroni atarudi ndani ya hema la mkutano, atavua yale mavazi aliyovaa alipoingia mahali patakatifu sana na kuyaacha humo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Haroni sharti aingie Hemani mwa Mkutano kuzivua nguo zake za ukonge, alizozivaa alipoingia Patakatifu, aziweke hapo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Haruni ataingia katika hema ya kukutania, naye atavua mavazi yake ya kitani, aliyoyavaa alipoingia katika patakatifu, atayaacha humo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Haruni atarudi ndani ya hema la mukutano, atavua na kuziacha mule zile nguo alizovaa alipoingia katika Pahali Patakatifu Sana.