Leviticus 16:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mafuta ya sadaka ya kuondoa dhambi atayateketeza juu ya madhabahu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia atachoma mafuta ya mnyama wa sadaka ya dhambi juu ya madhabahu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mafuta ya sadaka ya dhambi atayateketeza juu ya madhabahu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mafuta ya sadaka ya kuondoa dhambi atayateketeza juu ya madhabahu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia atachoma mafuta ya mnyama wa sadaka ya dhambi juu ya madhabahu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia atachoma mafuta ya mnyama wa sadaka ya dhambi juu ya madhabahu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mafuta ya sadaka ya dhambi atayateketeza juu ya madhabahu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mafuta ya sadaka ya kuondoa dhambi atayateketeza juu ya madhabahu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo mafuta ya ng'ombe ya tambiko ya weuo na ayateketeze kuwa moshi mezani pa kutambikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mafuta ya sadaka ya dhambi atayateketeza juu ya madhabahu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mafuta ya sadaka kwa ajili ya zambi atayateketeza juu ya mazabahu.