Leviticus 16:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule mtu aliyempeleka yule beberu kwa Azazeli kwanza atayafua mavazi yake na kuoga ndipo atakapoweza kuingia kambini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Yule mtu anayemwachia yule mbuzi wa kubebeshwa dhambi ni lazima afue nguo zake na kuoga kwa maji; baadaye anaweza kuingia kambini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mtu yule amwachaye mbuzi wa Azazeli aende zake, ataosha nguo zake, na kuosha mwili wake kwa maji, na baadaye ataingia katika marago.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule mtu aliyempeleka yule beberu kwa Azazeli kwanza atayafua mavazi yake na kuoga ndipo atakapoweza kuingia kambini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Yule mtu anayemwachia yule mbuzi wa Azazeli ni lazima afue nguo zake na kuoga kwa maji; baadaye anaweza kuingia kambini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Yule mtu anayemwachia yule mbuzi wa kubebeshwa dhambi ni lazima afue nguo zake na kuoga kwa maji; baadaye anaweza kuingia kambini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mtu yule amwachaye mbuzi wa Azazeli aende zake, ataosha nguo zake, na kuosha mwili wake kwa maji, na baadaye ataingia katika kambi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yule mtu aliyempeleka yule beberu kwa Azazeli kwanza atayafua mavazi yake na kuoga ndipo atakapoweza kuingia kambini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye yule mtu aliyempeleka dume la mbuzi la Azazeli na kumwachilia sharti azifue nguo zake na kuuogesha mwili wake majini, baadaye ataweza kuingia makambini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mtu yule amwachaye mbuzi wa Azazeli aende zake, ataosha nguo zake, na kuosha mwili wake kwa maji, na baadaye ataingia katika marago.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule mutu aliyepeleka yule beberu kwa Azazeli kwanza atafua nguo zake na kuoga ndipo atakapoweza kuingia ndani ya kambi.