Leviticus 16:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule mtu atakayewateketeza atayafua mavazi yake na kuoga, ndipo atakapoweza kuingia kambini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu atakayevichoma ni lazima afue nguo zake na aoge kwa maji; baadaye ataweza kuingia kambini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na yeye awachomaye moto atafua nguo zake, na kuosha mwili wake kwa maji, na baadaye ataingia maragoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule mtu atakayewateketeza atayafua mavazi yake na kuoga, ndipo atakapoweza kuingia kambini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtu atakayevichoma ni lazima afue nguo zake na aoge kwa maji; baadaye ataweza kuingia kambini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu atakayevichoma ni lazima afue nguo zake na aoge kwa maji; baadaye ataweza kuingia kambini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na yeye awachomaye moto atafua nguo zake, na kuosha mwili wake kwa maji, na baadaye ataingia kambini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yule mtu atakayewateketeza atayafua mavazi yake na kuoga, ndipo atakapoweza kuingia kambini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye atakayeziteketeza sharti azifue nguo zake na kuuogesha mwili wake majini, baadaye ataweza kuingia makambini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na yeye awachomaye moto atafua nguo zake, na kuosha mwili wake kwa maji, na baadaye ataingia maragoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule mutu atakayewateketeza atafua nguo zake na kuoga, ndipo atakapoweza kuingia katika kambi.