Leviticus 16:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aroni ataingia mahali patakatifu sana akiwa na fahali mchanga kwa ajili ya sadaka ya kuondoa dhambi na kondoo dume kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hivi ndivyo Haruni atakavyoingia katika Mahali Patakatifu: atachukua fahali mchanga kwa ajili ya sadaka ya dhambi, na kondoo dume kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haruni ataingia katika patakatifu na vitu hivi; ng'ombe mume mchanga kwa sadaka ya dhambi, na kondoo mume kwa sadaka ya kuteketezwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aroni ataingia mahali patakatifu sana akiwa na fahali mchanga kwa ajili ya sadaka ya kuondoa dhambi na kondoo dume kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Hivi ndivyo Aroni atakavyoingia katika mahali patakatifu: akiwa na fahali mchanga kwa ajili ya sadaka ya dhambi na kondoo dume kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Hivi ndivyo Haruni atakavyoingia katika mahali patakatifu: atachukua fahali mchanga kwa ajili ya sadaka ya dhambi, na kondoo dume kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haruni ataingia katika patakatifu na vitu hivi; ng'ombe dume mchanga kwa sadaka ya dhambi, na kondoo dume kwa sadaka ya kuteketezwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aroni ataingia mahali patakatifu sana akiwa na fahali mchanga kwa ajili ya sadaka ya kuondoa dhambi na kondoo dume kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ila Haroni apaingie Patakatifu akipeleka dume la ng'ombe aliye ndama bado kuwa ng'ombe ya tambiko ya weuo na dume la kondoo kuwa ng'ombe ya tambiko ya kuteketezwa nzima.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haruni ataingia katika patakatifu na vitu hivi; ng’ombe mume mchanga kwa sadaka ya dhambi, na kondoo mume kwa sadaka ya kuteketezwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haruni ataingia Pahali Patakatifu akiwa na ngombe dume muchanga kwa ajili ya sadaka ya zambi na kondoo dume kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa kwa moto.