Leviticus 16:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtafanya hivyo kwa sababu siku hiyo ndiyo siku ambayo mtafanyiwa ibada ya upatanisho, msafishwe dhambi zenu, nanyi mtakuwa safi mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa sababu siku hii upatanisho utafanyika kwa ajili yenu ili kuwatakasa. Kisha mtakuwa safi mbele za Mwenyezi Mungu kutokana na dhambi zenu zote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana siku hiyo upatanisho utafanywa kwa ajili yenu, ili kuwatakasa; nanyi mtatakaswa na dhambi zenu zote mbele za Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtafanya hivyo kwa sababu siku hiyo ndiyo siku ambayo mtafanyiwa ibada ya upatanisho, msafishwe dhambi zenu, nanyi mtakuwa safi mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa sababu siku hii upatanisho utafanyika kwa ajili yenu ili kuwatakasa. Kisha, mbele za BWANA, mtakuwa safi kutokana na dhambi zenu zote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa sababu siku hii upatanisho utafanyika kwa ajili yenu ili kuwatakasa. Kisha mtakuwa safi mbele za bwana kutokana na dhambi zenu zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana siku hiyo upatanisho utafanywa kwa ajili yenu, ili kuwatakasa; nanyi mtatakaswa na dhambi zenu zote mbele za BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtafanya hivyo kwa sababu siku hiyo ndiyo siku ambayo mtafanyiwa ibada ya upatanisho, msafishwe dhambi zenu, nanyi mtakuwa safi mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani siku hiyo ndipo, watakapowapatia upozi na kuwaeua, makosa yenu yote yawatoke, mpate kuwa wenye kutakata mbele ya Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana siku hiyo upatanisho utafanywa kwa ajili yenu, ili kuwatakasa; nanyi mtatakaswa na dhambi zenu zote mbele za BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutafanya hivyo kwa sababu siku hiyo ndiyo siku ambayo mutafanyiwa ibada ya upatanisho, musafishwe zambi zenu, nanyi mutakuwa safi mbele ya Yawe.