Leviticus 16:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuhani aliyepakwa mafuta na kuwekwa wakfu ashike nafasi ya baba yake, ndiye atakayefanya ibada ya upatanisho akiwa amevaa mavazi matakatifu ya kitani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhani ambaye amepakwa mafuta na kuwekwa wakfu ili kuingia mahali pa baba yake kama kuhani mkuu atafanya upatanisho. Atavaa mavazi matakatifu ya kitani,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kuhani atakayetiwa mafuta na kuwekwa wakfu badala ya baba yake, ataufanya huo upatanisho, naye atayavaa mavazi ya kitani, yaani, yale mavazi matakatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuhani aliyepakwa mafuta na kuwekwa wakfu ashike nafasi ya baba yake, ndiye atakayefanya ibada ya upatanisho akiwa amevaa mavazi matakatifu ya kitani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuhani ambaye ametiwa mafuta na kuwekwa wakfu ili kuingia mahali pa baba yake kama Kuhani Mkuu atafanya upatanisho. Atavaa mavazi matakatifu ya kitani,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuhani ambaye ametiwa mafuta na kuwekwa wakfu ili kuingia mahali pa baba yake kama kuhani mkuu atafanya upatanisho. Atavaa mavazi matakatifu ya kitani,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kuhani atakayetiwa mafuta na kuwekwa wakfu badala ya baba yake, ataufanya huo upatanisho, naye atayavaa mavazi ya kitani, yaani, yale mavazi matakatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuhani aliyepakwa mafuta na kuwekwa wakfu ashike nafasi ya baba yake, ndiye atakayefanya ibada ya upatanisho akiwa amevaa mavazi matakatifu ya kitani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwenye kupoza sharti awe mtambikaji, waliyempaka mafuta na kulijaza gao lake, apate kutambika mahali pa baba yake, naye sharti azivae hizo nguo za ukonge, maana ndizo nguo zipasazo Patakatifu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kuhani atakayetiwa mafuta na kuwekwa wakfu badala ya baba yake, ataufanya huo upatanisho, naye atayavaa mavazi ya kitani, yaani, yale mavazi matakatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuhani aliyepakwa mafuta na kutakaswa ashike nafasi ya baba yake, ndiye atakayefanya ibada ya upatanisho akiwa amevaa nguo takatifu ya kitani.