Leviticus 16:33 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atafanya ibada ya upatanisho kwa ajili ya mahali patakatifu sana, kwa ajili ya hema la mkutano, madhabahu, makuhani na kwa ajili ya jumuiya nzima ya Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na kufanya upatanisho kwa ajili ya Patakatifu pa Patakatifu, Hema la Kukutania na madhabahu, na pia kwa ajili ya makuhani, pamoja na jumuiya yote ya watu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye atafanya upatanisho kwa ajili ya patakatifu, naye atafanya upatanisho kwa ajili ya hema ya kukutania, na kwa ajili ya madhabahu; naye atafanya upatanisho kwa ajili ya makuhani, na kwa ajili ya watu wote wa kusanyiko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atafanya ibada ya upatanisho kwa ajili ya mahali patakatifu sana, kwa ajili ya hema la mkutano, madhabahu, makuhani na kwa ajili ya jumuiya nzima ya Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na kufanya upatanisho kwa ajili ya Patakatifu pa Patakatifu, Hema la Kukutania na madhabahu, pia kwa ajili ya makuhani pamoja na jumuiya yote ya watu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na kufanya upatanisho kwa ajili ya Patakatifu pa Patakatifu, Hema la Kukutania na madhabahu, na pia kwa ajili ya makuhani, pamoja na jumuiya yote ya watu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye atafanya upatanisho kwa ajili ya patakatifu, naye atafanya upatanisho kwa ajili ya hema ya kukutania, na kwa ajili ya madhabahu; naye atafanya upatanisho kwa ajili ya makuhani, na kwa ajili ya watu wote wa kusanyiko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atafanya ibada ya upatanisho kwa ajili ya mahali patakatifu sana, kwa ajili ya hema la mkutano, madhabahu, makuhani na kwa ajili ya jumuiya nzima ya Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha na apapatie upozi Patakatifu penyewe nalo Hema la Mkutano, nayo meza ya kutambikia na aipatie upozi, nao watambikaji wote pamoja na watu wote wa huu mkutano na awapatie upozi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye atafanya upatanisho kwa ajili ya patakatifu, naye atafanya upatanisho kwa ajili ya hema ya kukutania, na kwa ajili ya madhabahu; naye atafanya upatanisho kwa ajili ya makuhani, na kwa ajili ya watu wote wa kusanyiko.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atafanya ibada ya upatanisho kwa ajili ya Pahali Patakatifu Sana, kwa ajili ya hema la mukutano, mazabahu, makuhani, na kwa ajili ya jamii nzima ya Israeli.