Leviticus 16:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atatwaa kutoka jumuiya ya watu wa Israeli beberu wawili kwa ajili ya sadaka ya kuondoa dhambi na kondoo dume mmoja kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atachukua beberu wawili kutoka kwa jumuiya ya Israeli kwa ajili ya sadaka ya dhambi, na kondoo dume kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha atatwaa mikononi mwa mkutano wa Waisraeli mbuzi waume wawili, kwa sadaka ya dhambi; na kondoo mume kwa sadaka ya kuteketezwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atatwaa kutoka jumuiya ya watu wa Israeli beberu wawili kwa ajili ya sadaka ya kuondoa dhambi na kondoo dume mmoja kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atachukua mbuzi dume wawili kutoka kwa jumuiya ya Kiisraeli kwa ajili ya sadaka ya dhambi na kondoo dume kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atachukua mbuzi dume wawili kutoka kwa jumuiya ya Israeli kwa ajili ya sadaka ya dhambi, na kondoo dume kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha atatwaa mikononi mwa mkutano wa Waisraeli mbuzi wawili madume, kwa sadaka ya dhambi; na kondoo dume kwa sadaka ya kuteketezwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atatwaa kutoka jumuiya ya watu wa Israeli beberu wawili kwa ajili ya sadaka ya kuondoa dhambi na kondoo dume mmoja kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha na achukue kwa mkutano wa wana wa Isiraeli madume mawili ya mbuzi kuwa ng'ombe za tambiko za weuo na dume moja la kondoo kuwa ng'ombe ya tambiko ya kuteketezwa nzima.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha atatwaa mikononi mwa mkutano wa Waisraeli mbuzi waume wawili, kwa sadaka ya dhambi; na kondoo mume kwa sadaka ya kuteketezwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atatwaa kutoka watu wa Israeli beberu wawili kwa ajili ya sadaka ya zambi na kondoo dume mumoja kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa.