Leviticus 16:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, wale beberu wawili atawaweka kwenye mlango wa hema la mkutano.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha atawachukua wale beberu wawili na kuwaleta mbele za Mwenyezi Mungu kwenye ingilio la Hema la Kukutania.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha atawatwaa wale mbuzi wawili na kuwaweka mbele za Bwana mlangoni pa hema ya kukutania.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, wale beberu wawili atawaweka kwenye mlango wa hema la mkutano.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha atawachukua wale mbuzi waume wawili na kuwaleta mbele za BWANA kwenye ingilio la Hema la Kukutania.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha atawachukua wale mbuzi dume wawili na kuwaleta mbele za bwana kwenye ingilio la Hema la Kukutania.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha atawatwaa wale mbuzi wawili na kuwaweka mbele za BWANA mlangoni pa hema ya kukutania.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, wale beberu wawili atawaweka kwenye mlango wa hema la mkutano.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha na awachukue wale madume mawili ya mbuzi, awasimamishe mbele ya Bwana hapo pa kuliingilia Hema la Mkutano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha atawatwaa wale mbuzi wawili na kuwaweka mbele za BWANA mlangoni pa hema ya kukutania.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, wale beberu wawili atawaweka kwenye mulango wa hema la mukutano.