Leviticus 16:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atawapigia kura hao beberu wawili, kura moja kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu na nyingine kwa ajili ya Azazeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haruni atapiga kura kwa ajili ya hao mbuzi wawili, mmoja kwa ajili ya Mwenyezi Mungu na mwingine kwa ajili ya kubebeshwa dhambi za Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Haruni atapiga kura juu ya wale mbuzi wawili; kura moja kwa ajili ya Bwana; na kura ya pili kwa ajili ya Azazeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atawapigia kura hao beberu wawili, kura moja kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu na nyingine kwa ajili ya Azazeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atapiga kura kwa ajili ya hao mbuzi wawili, mmoja kwa ajili ya BWANA na mwingine kwa ajili ya Azazeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haruni atapiga kura kwa ajili ya hao mbuzi wawili, mmoja kwa ajili ya bwana na mwingine kwa ajili ya kubebeshwa dhambi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Haruni atapiga kura juu ya wale mbuzi wawili; kura moja kwa ajili ya BWANA; na kura ya pili kwa ajili ya Azazeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atawapigia kura hao beberu wawili, kura moja kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu na nyingine kwa ajili ya Azazeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Haroni na awapigie kura hawa madume mawili, kura moja ya Bwana, ya pili ya Azazeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Haruni atapiga kura juu ya wale mbuzi wawili; kura moja kwa ajili ya BWANA; na kura ya pili kwa ajili ya Azazeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atawapigia kura hao beberu wawili, kura moja kwa ajili ya Yawe na nyingine kwa ajili ya Azazeli.