Leviticus 16:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atamleta yule beberu ambaye kura ilimtaka kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu na kumtolea sadaka ya kuondoa dhambi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haruni atamleta yule mbuzi ambaye kura ya Mwenyezi Mungu imemwangukia na kumtoa dhabihu kwa ajili ya sadaka ya dhambi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Haruni atamleta yule mbuzi aliyeangukiwa na kura kwa ajili ya Bwana, na kumtoa awe sadaka ya dhambi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atamleta yule beberu ambaye kura ilimtaka kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu na kumtolea sadaka ya kuondoa dhambi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aroni atamleta yule mbuzi ambaye kura ya BWANA imemwangukia na kumtoa dhabihu kwa ajili ya sadaka ya dhambi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haruni atamleta yule mbuzi ambaye kura ya bwana imemwangukia na kumtoa dhabihu kwa ajili ya sadaka ya dhambi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Haruni atamleta yule mbuzi aliyeangukiwa na kura kwa ajili ya BWANA, na kumtoa awe sadaka ya dhambi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atamleta yule beberu ambaye kura ilimtaka kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu na kumtolea sadaka ya kuondoa dhambi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Haroni na amtoe dume yule aliyeangukiwa na kura ya Bwana; huyu amtengeneze kuwa ng'ombe ya tambiko ya weuo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Haruni atamleta yule mbuzi aliyeangukiwa na kura kwa ajili ya BWANA, na kumtoa awe sadaka ya dhambi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ataleta yule beberu ambaye kura ilimwangukia kwa ajili ya Yawe na kumutolea sadaka kwa ajili ya zambi.