Leviticus 17:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndiyo maana nimewaagiza Waisraeli hivi: Mtu yeyote miongoni mwenu wala mgeni anayeishi kati yenu kamwe asile damu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo, ninawaambia Waisraeli, “Hakuna hata mmoja wenu anayeruhusiwa kula damu, wala mgeni anayeishi miongoni mwenu haruhusiwi kula damu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo naliwaambia wana wa Israeli, Hapana mtu miongoni mwenu aliye na ruhusa kula damu, wala mgeni aketiye kati yenu asile damu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndiyo maana nimewaagiza Waisraeli hivi: mtu yeyote miongoni mwenu wala mgeni anayeishi kati yenu kamwe asile damu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo, ninawaambia Waisraeli, “Hakuna hata mmoja wenu anayeruhusiwa kunywa damu, wala mgeni anayeishi miongoni mwenu haruhusiwi kunywa damu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo, ninawaambia Waisraeli, “Hakuna hata mmoja wenu anayeruhusiwa kunywa damu, wala mgeni anayeishi miongoni mwenu haruhusiwi kunywa damu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hiyo niliwaambia wana wa Israeli, Hapana mtu miongoni mwenu aliye na ruhusa kula damu, wala mgeni aishiye kati yenu asile damu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndiyo maana nimewaagiza Waisraeli hivi: Mtu yeyote miongoni mwenu wala mgeni anayeishi kati yenu kamwe asile damu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo nimewaambia wana wa Isiraeli: Atakayekaa kwenu asile damu, wala mgeni atakayekaa kwenu asile damu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo naliwaambia wana wa Israeli, Hapana mtu miongoni mwenu aliye na ruhusa kula damu, wala mgeni aketiye kati yenu asile damu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndiyo maana nimewaagiza Waisraeli hivi: mutu yeyote kati yenu wala mugeni anayeishi kati yenu asikule damu.