Leviticus 17:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mwambie Aroni, wanawe na watu wote wa Israeli amri zifuatazo:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Sema na Haruni na wanawe, pamoja na Waisraeli wote, uwaambie: ‘Hili ndilo Mwenyezi Mungu aliloagiza:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sema na Haruni, na wanawe, na wana wote wa Israeli, ukawaambie; Neno hili ndilo aliloliamuru Bwana, akisema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mwambie Aroni, wanawe na watu wote wa Israeli amri zifuatazo:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Sema na Aroni na wanawe pamoja na Waisraeli wote uwaambie: ‘Hili ndilo BWANA aliloagiza:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Sema na Haruni na wanawe, pamoja na Waisraeli wote, uwaambie: ‘Hili ndilo bwana aliloagiza:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sema na Haruni, na wanawe, na wana wote wa Israeli, uwaambie; Neno hili ndilo aliloamuru BWANA,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mwambie Aroni, wanawe na watu wote wa Israeli amri zifuatazo:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sema na Haroni na wana wote wa Isiraeli, uwaambie: Hili ni neno, aliloliagiza Bwana kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sema na Haruni, na wanawe, na wana wote wa Israeli, ukawaambie; Neno hili ndilo aliloliamuru BWANA, akisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwaambie Haruni, wana wake na watu wote wa Israeli maagizo haya: