Leviticus 17:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama mtu yeyote miongoni mwa Waisraeli akichinja ng'ombe au mwanakondoo au mbuzi ndani au nje ya kambi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwisraeli yeyote atakayetoa dhabihu ya ng’ombe, mwana-kondoo au mbuzi ndani ya kambi au nje yake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu awaye yote wa nyumba ya Israeli atakayechinja ng'ombe, au mwana-kondoo, au mbuzi, ndani ya marago, au atakayemchinja nje ya marago,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama mtu yeyote miongoni mwa Waisraeli akichinja ng'ombe au mwanakondoo au mbuzi ndani au nje ya kambi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwisraeli ye yote atakayetoa dhabihu ya maksai, mwana-kondoo au mbuzi ndani ya kambi au nje yake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwisraeli yeyote atakayetoa dhabihu ya maksai, mwana-kondoo au mbuzi ndani ya kambi au nje yake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu yeyote wa nyumba ya Israeli atakayechinja ng'ombe, mwana-kondoo, au mbuzi, ndani au nje ya kambi,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama mtu yeyote miongoni mwa Waisraeli akichinja ng'ombe au mwanakondoo au mbuzi ndani au nje ya kambi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu ye yote wa mlango wa Isiraeli atkayechinja ng'ombe au kondoo au mbuzi makambini au atakayemchinja nje ya makambi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu awaye yote wa nyumba ya Israeli atakayechinja ng’ombe, au mwana-kondoo, au mbuzi, ndani ya marago, au atakayemchinja nje ya marago,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama mutu yeyote kati ya Waisraeli akichinja ngombe au mwana-kondoo au mbuzi ndani au inje ya kambi,