Leviticus 17:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Waambie kwamba mtu yeyote miongoni mwa Waisraeli au mgeni anayeishi kati yao, anayetoa sadaka ya kuteketezwa au tambiko,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Waambie: ‘Mwisraeli yeyote au mgeni yeyote anayeishi miongoni mwao atakayetoa sadaka ya kuteketezwa au dhabihu
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utawaambia, Mtu awaye yote katika nyumba ya Israeli, au miongoni mwa wageni, wanaokaa nao, atoaye sadaka ya kuteketezwa au dhabihu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Waambie kwamba mtu yeyote miongoni mwa Waisraeli au mgeni anayeishi kati yao, anayetoa sadaka ya kuteketezwa au tambiko,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Waambie: ‘Mwisraeli ye yote au mgeni ye yote anayeishi miongoni mwao atakayetoa sadaka ya kuteketezwa au dhabihu
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Waambie: ‘Mwisraeli yeyote au mgeni yeyote anayeishi miongoni mwao atakayetoa sadaka ya kuteketezwa au dhabihu
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utawaambia, Mtu yeyote katika nyumba ya Israeli, au miongoni mwa wageni, wanaokaa nao, atoaye sadaka ya kuteketezwa au dhabihu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Waambie kwamba mtu yeyote miongoni mwa Waisraeli au mgeni anayeishi kati yao, anayetoa sadaka ya kuteketezwa au tambiko,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena uwaambie: Mtu ye yote wa mlango wa Isiralei, hata mgeni atakayekaa kwao, atakayetoa ng'ombe ya tambiko ya kuteketezwa nzima au ng'ombe nyingine ya tambiko,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utawaambia, Mtu awaye yote katika nyumba ya Israeli, au miongoni mwa wageni, wanaokaa nao, atoaye sadaka ya kuteketezwa au dhabihu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwaambie kwamba mutu yeyote kati ya Waisraeli au mugeni anayeishi kati yao, anayetoa sadaka ya kuteketezwa au sadaka ingine,