Leviticus 17:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
lakini haileti mbele ya mlango wa hema la mkutano ili kumtolea Mwenyezi-Mungu, mtu huyo atatengwa na watu wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
bila kuileta kwenye ingilio la Hema la Kukutania ili kutoa dhabihu kwa Mwenyezi Mungu, mtu huyo ni lazima akatiliwe mbali na watu wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wala haileti mlangoni pa hema ya kukutania, ili aisongeze kwa Bwana basi mtu huyo atatengwa na watu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
lakini haileti mbele ya mlango wa hema la mkutano ili kumtolea Mwenyezi-Mungu, mtu huyo atatengwa na watu wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
bila kuileta kwenye ingilio la Hema la Kukutania ili kutoa dhabihu kwa BWANA, mtu huyo ni lazima akatiliwe mbali na watu wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bila kuileta kwenye ingilio la Hema la Kukutania ili kutoa dhabihu kwa bwana, mtu huyo ni lazima akatiliwe mbali na watu wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wala haileti mlangoni pa hema ya kukutania, ili aisongeze kwa BWANA basi mtu huyo atatengwa na watu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
lakini haileti mbele ya mlango wa hema la mkutano ili kumtolea Mwenyezi-Mungu, mtu huyo atatengwa na watu wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
asipoipeleka pa kuliingilia Hema la Mkutano kuiteketeza hapo, iwe ng'ombe ya tambiko ya Bwana, mtu huyu sharti ang'olewe kwao walio wa ukoo wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wala haileti mlangoni pa hema ya kukutania, ili aisongeze kwa BWANA basi mtu huyo atatengwa na watu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
lakini haileti mbele ya mulango wa hema la mukutano kwa kumutolea Yawe, mutu yule atatengwa na watu wake.