Leviticus 18:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kamwe usilale na mjukuu wako, mtoto wa mwanao au binti yako; maana sehemu zao za siri ni kama zako mwenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Usikutane kimwili na binti ya mwanao ama binti ya binti yako; utajivunjia heshima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utupu wa binti ya mwanao mume, au wa binti ya binti yako, utupu wao hao usifunue; kwa kuwa ndio utupu wako mwenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kamwe usilale na mjukuu wako, mtoto wa mwanao au binti yako; maana sehemu zao za siri ni kama zako mwenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Usikutane kimwili na binti wa mwanao ama binti wa binti yako; utajivunjia heshima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Usikutane kimwili na binti wa mwanao ama binti wa binti yako; utajivunjia heshima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utupu wa binti ya mwanao wa kiume, au wa binti ya binti yako, utupu wao hao usiufunue; kwa kuwa ni utupu wako mwenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kamwe usilale na mjukuu wako, mtoto wa mwanao au binti yako; maana sehemu zao za siri ni kama zako mwenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uchi wa binti mwanao, wa kiume au wa kike, usifunue uchi wao hao, kwani ni uchi wako mwenyewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utupu wa binti ya mwanao mume, au wa binti ya binti yako, utupu wao hao usifunue; kwa kuwa ndio utupu wako mwenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usilale na mujukuu wako, mutoto wa mwana wako au binti yako, maana sehemu zao za siri ni kama zako mwenyewe.