Leviticus 18:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kamwe usilale na msichana aliyezaliwa na mama yako wa kambo aliyeolewa na baba yako; msichana huyo ni dada yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Usikutane kimwili na binti ya mke wa baba yako, aliyezaliwa na baba yako; huyo ni dada yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utupu wa binti ya mkewe baba yako, aliyezaliwa na baba yako, yeye ni umbu lako, usifunue utupu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kamwe usilale na msichana aliyezaliwa na mama yako wa kambo aliyeolewa na baba yako; msichana huyo ni dada yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Usikutane kimwili na binti wa mke wa baba yako, aliyezaliwa na baba yako; huyo ni dada yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Usikutane kimwili na binti wa mke wa baba yako, aliyezaliwa na baba yako; huyo ni dada yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utupu wa binti ya mkewe baba yako, aliyezaliwa na baba yako, yeye ni dada yako, usifunue utupu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kamwe usilale na msichana aliyezaliwa na mama yako wa kambo aliyeolewa na baba yako; msichana huyo ni dada yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uchi wake binti mkewe baba yako, aliyezaliwa na baba yako, usiufunue huo uchi wake, maana ni umbu lako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utupu wa binti ya mkewe baba yako, aliyezaliwa na baba yako, yeye ni umbu lako, usifunue utupu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usilale na binti aliyezaliwa na muke wa baba yako aliyeolewa na baba yako. Binti huyo ni dada yako.