Leviticus 18:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kamwe usilale na shangazi yako; kwani huyo ni dada wa baba yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Usikutane kimwili na dada wa baba yako; ni ndugu wa karibu wa baba yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usifunue utupu wa umbu lake baba yako; maana, yeye ni jamaa aliye karibu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kamwe usilale na shangazi yako; kwani huyo ni dada wa baba yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Usikutane kimwili na dada wa baba yako; ni ndugu wa karibu wa baba yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Usikutane kimwili na dada wa baba yako; ni ndugu wa karibu wa baba yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usifunue utupu wa dada ya baba yako; maana, yeye ni jamaa wa karibu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kamwe usilale na shangazi yako; kwani huyo ni dada wa baba yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uchi wake umbu lake baba yako usiufunue, maana ni ndugu ya baba yako wa kuzaliwa naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usifunue utupu wa umbu lake baba yako; maana, yeye ni jamaa aliye karibu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usilale na shangazi yako, maana huyo ni dada ya baba yako.