Leviticus 18:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kamwe usilale na dada wa mama yako; kwani huyo ni mama yako mkubwa au mdogo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Usikutane kimwili na dada wa mama yako, kwa sababu ni ndugu wa mama yako wa karibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usifunue utupu wa umbu la mama yako; maana, yeye ni jamaa ya mama yako ya karibu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kamwe usilale na dada wa mama yako; kwani huyo ni mama yako mkubwa au mdogo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Usikutane kimwili na dada wa mama yako, kwa sababu ni ndugu wa mama yako wa karibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Usikutane kimwili na dada wa mama yako, kwa sababu ni ndugu wa mama yako wa karibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usifunue utupu wa dada ya mama yako; maana, yeye ni jamaa ya mama yako wa karibu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kamwe usilale na dada wa mama yako; kwani huyo ni mama yako mkubwa au mdogo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uchi wa ndugu ya mama yako usiufunue. Kwani ni ndugu ya mama yako wa kuzaliwa naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usifunue utupu wa umbu la mama yako; maana, yeye ni jamaa ya mama yako ya karibu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usilale na dada ya mama yako, maana huyo ni mama yako mukubwa au mudogo.