Leviticus 18:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kamwe usilale na mke wa baba yako mkubwa au mdogo; huyo ni mama yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Usimvunjie heshima ndugu wa baba yako, kwa kukutana kimwili na mke wake; yeye ni shangazi yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usifunue utupu wa ndugu ya baba yako, usimkaribie mkewe huyo; yeye ni shangazi lako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kamwe usilale na mke wa baba yako mkubwa au mdogo; huyo ni mama yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Usimvunjie heshima ndugu wa baba yako, kwa kukutana kimwili na mke wake; yeye ni shangazi yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Usimvunjie heshima ndugu wa baba yako, kwa kukutana kimwili na mke wake; yeye ni shangazi yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usifunue utupu wa ndugu ya baba yako, usimkaribie mkewe huyo; yeye ni shangazi yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kamwe usilale na mke wa baba yako mkubwa au mdogo; huyo ni mama yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uchi wa baba yako mkubwa au mdogo usiufunue, wala mkewe usimkaribie, maana ni mama yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usifunue utupu wa ndugu ya baba yako, usimkaribie mkewe huyo; yeye ni shangazi lako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usilale na muke wa baba yako mukubwa au mudogo; huyo ni mama yako.