Leviticus 18:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kamwe usilale na mke wa mwanao; huyo ni mkewe mwanao. Kamwe usilale naye.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Usikutane kimwili na mkwe wako, yeye ni mke wa mwanao; usiwe na mahusiano kama hayo naye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usifunue utupu wa mkweo mwanamke; yeye ni mke wa mwanao; usifunue utupu wake huyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kamwe usilale na mke wa mwanao; huyo ni mkewe mwanao. Kamwe usilale naye.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Usikutane kimwili na mkwe wako, yeye ni mke wa mwanao; usiwe na mahusiano kama hayo naye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Usikutane kimwili na mkwe wako, yeye ni mke wa mwanao; usiwe na mahusiano kama hayo naye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usifunue utupu wa mkweo mwanamke; yeye ni mke wa mwanao; usifunue utupu wake huyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kamwe usilale na mke wa mwanao; huyo ni mkewe mwanao. Kamwe usilale naye.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uchi wa mkweo aliye mke wa mwanao wa kiume usiufunue huo uchi wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usifunue utupu wa mkweo mwanamke; yeye ni mke wa mwanao; usifunue utupu wake huyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usilale na muke wa mwana wako, huyo ni muke wa mwana wako. Usilale naye.