Leviticus 18:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ukilala na mwanamke, basi, kamwe usilale naye na binti yake, wala wajukuu zake. Hao ni ndugu. Kuwachanganya ni kufanya uovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Usikutane kimwili na mwanamke kisha na binti yake. Usikutane kimwili na binti ya mwanawe au binti ya binti yake; hao ni ndugu zake wa karibu. Huo ni uovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usifunue utupu wa mwanamke na binti yake; usimtwae binti ya mwanawe mume, au binti ya binti yake, ili kufunua utupu wake; hao ni jamaa ya karibu; ni uovu mkuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ukilala na mwanamke, basi, kamwe usilale naye na binti yake, wala wajukuu zake. Hao ni ndugu. Kuwachanganya ni kufanya uovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Usikutane kimwili na mwanamke kisha na binti yake. Usikutane kimwili na binti wa mwanawe au binti wa binti yake; hao ni ndugu zake wa karibu. Huo ni uovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Usikutane kimwili na mwanamke kisha na binti yake. Usikutane kimwili na binti wa mwanawe au binti wa binti yake; hao ni ndugu zake wa karibu. Huo ni uovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usifunue utupu wa mwanamke na binti yake; usimtwae binti ya mwanaye wa kiume, au binti ya binti yake, ili kufunua utupu wake; hao ni jamaa ya karibu; ni uovu mkuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ukilala na mwanamke, basi, kamwe usilale naye na binti yake, wala wajukuu zake. Hao ni ndugu. Kuwachanganya ni kufanya uovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uchi wa mwanamke usiufunue pamoja nao wa mwanawe wa kike. Wala usimchukue binti mwanawe wa kiume wala binti mwanawe wa kike kuufunua uchi wake. Maana hao wanawake ni ndugu wa kuzaliwa pamoja; huo ndio uzinzi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usifunue utupu wa mwanamke na binti yake; usimtwae binti ya mwanawe mume, au binti ya binti yake, ili kufunua utupu wake; hao ni jamaa ya karibu; ni uovu mkuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ukilala na mwanamuke, basi, usilale naye na binti yake, wala wajukuu zake. Hao ni wandugu. Kuwachanganya ni kufanya uovu.