Leviticus 18:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kamwe usilale na mwanamke awapo mwezini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Usimsogelee mwanamke ili kukutana naye kimwili wakati wa unajisi wa siku zake za mwezi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe usimkaribie mwanamke kufunua utupu wake wakati wa kutengwa kwa ajili ya unajisi wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kamwe usilale na mwanamke awapo mwezini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Usimsogelee mwanamke ili kukutana naye kimwili wakati wa unajisi wa siku zake za mwezi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Usimsogelee mwanamke ili kukutana naye kimwili wakati wa unajisi wa siku zake za mwezi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usimwendee mwanamke kufunua utupu wake atakapokuwa najisi kwa ajili ya hedhi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kamwe usilale na mwanamke awapo mwezini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usimkaribie mwanamke aliye mwenye uchafu kwa kuwa miezini, uufunue uchi wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe usimkaribie mwanamke kufunua utupu wake wakati wa kutengwa kwa ajili ya unajisi wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usilale na mwanamuke anapokuwa na ugonjwa wa mwezi.