Leviticus 18:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Waambie watu wa Israeli hivi: Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Sema na Waisraeli uwaambie: ‘Mimi ndimi Mwenyezi Mungu, Mungu wenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nena wewe na wana wa Israeli, uwaambie, Mimi ndimi Bwana, Mungu wenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Waambie watu wa Israeli hivi: Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Sema na Waisraeli uwaambie: ‘Mimi ndimi BWANA Mungu wenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Sema na Waisraeli uwaambie: ‘Mimi ndimi bwana Mwenyezi Mungu wenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nena na wana wa Israeli, uwaambie, Mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Waambie watu wa Israeli hivi: Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sema na wana wa Isiraeli na kuwaambia: Mimi Bwana ni Mungu wenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nena wewe na wana wa Israeli, uwaambie, Mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwaambie watu wa Israeli hivi: Mimi ni Yawe, Mungu wenu.