Leviticus 18:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nchi yao ilitiwa unajisi nami nikaiadhibu, nayo ikawakataa wakazi wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata nchi ilitiwa unajisi, hivyo nikaiadhibu kwa dhambi zake, nayo nchi ikawatapika wakazi wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na hiyo nchi imekuwa najisi; kwa ajili ya hayo naipatiliza uovu wake juu yake, na hiyo nchi yatapika wenyeji wake na kuwatoa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nchi yao ilitiwa unajisi nami nikaiadhibu, nayo ikawakataa wakazi wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata nchi ikatiwa unajisi, hivyo nikaiadhibu kwa dhambi zake nayo nchi ikawatapika wakazi wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata nchi ilitiwa unajisi, hivyo nikaiadhibu kwa dhambi zake, nayo nchi ikawatapika wakazi wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nayo nchi ikawa najisi; na nikaipatiliza kwa ajili ya uovu wake, kisha ikawatema wakazi wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nchi yao ilitiwa unajisi nami nikaiadhibu, nayo ikawakataa wakazi wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuwa nchi ilipata kuwa yenye uchafu, nitailipisha huu uovu wake, iwatapike waliokuwa wenyeji huko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na hiyo nchi imekuwa najisi; kwa ajili ya hayo naipatiliza uovu wake juu yake, na hiyo nchi yatapika wenyeji wake na kuwatoa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Inchi yao ilichafuliwa nami nikaiazibu, nayo ikawakataa wakaaji wake.