Leviticus 18:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini nyinyi na wageni wanaokaa kati yenu ni lazima kuyashika masharti na maagizo yangu na wala msifanye machukizo hayo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini ni lazima mzitunze amri zangu na sheria zangu. Wazawa na wageni wanaoishi miongoni mwenu kamwe wasifanye mambo yoyote ya machukizo haya,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo mtazishika amri zangu na hukumu zangu, wala msifanye machukizo hayo mojawapo; yeye aliye mzalia, wala mgeni aketiye kati yenu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini nyinyi na wageni wanaokaa kati yenu ni lazima kuyashika masharti na maagizo yangu na wala msifanye machukizo hayo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini ni lazima uzitunze amri zangu na sheria zangu. Mzaliwa na wageni waishio miongoni mwenu kamwe wasifanye mambo yo yote ya machukizo haya,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini ni lazima uzitunze amri zangu na sheria zangu. Mzawa na wageni waishio miongoni mwenu kamwe wasifanye mambo yoyote ya machukizo haya,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hiyo mtazishika amri zangu na maagizo yangu, wala msifanye mojawapo ya machukizo hayo; yeye aliye mzaliwa, wala mgeni aishiye kati yenu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini nyinyi na wageni wanaokaa kati yenu ni lazima kuyashika masharti na maagizo yangu na wala msifanye machukizo hayo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ninyi yaangalieni maongozi yangu na maamuzi yangu, msiyafanye hayo matapisho yote, wala ninyi mlio wenyeji wala wageni watakaokuwa kwenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo mtazishika amri zangu na hukumu zangu, wala msifanye machukizo hayo mojawapo; yeye aliye mzalia, wala mgeni aketiye kati yenu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini ninyi na wageni wanaokaa kati yenu munapaswa kushika masharti yangu na maagizo yangu na wala musifanye machukizo hayo.