Leviticus 18:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Machukizo hayo waliyafanya watu waliokaa katika nchi ya Kanaani kabla yenu, nao wakaitia nchi unajisi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa kuwa mambo haya yote yalifanywa na watu walioishi katika nchi hii kabla yenu, na nchi ikawa najisi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
(kwa kuwa hao watu wa nchi wameyafanya machukizo haya yote, hao waliotangulia mbele zenu, na hiyo nchi imekuwa najisi;)
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Machukizo hayo waliyafanya watu waliokaa katika nchi ya Kanaani kabla yenu, nao wakaitia nchi unajisi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa kuwa mambo haya yote yalifanywa na watu walioishi katika nchi hii kabla yenu na nchi ikawa najisi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa kuwa mambo haya yote yalifanywa na watu walioishi katika nchi hii kabla yenu, na nchi ikawa najisi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
(kwa kuwa hao watu wa nchi wameyafanya machukizo haya yote, hao waliotangulia mbele zenu, na hiyo nchi imekuwa najisi;)
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Machukizo hayo waliyafanya watu waliokaa katika nchi ya Kanaani kabla yenu, nao wakaitia nchi unajisi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani matapisho hayo yote waliyafanya wao waliokuwako mbele yenu katika nchi hiyo, hata nchi ikapata kuwa yenye uchafu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
(kwa kuwa hao watu wa nchi wameyafanya machukizo haya yote, hao waliotangulia mbele zenu, na hiyo nchi imekuwa najisi;)
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Machukizo hayo yalifanywa na watu waliokaa katika inchi ya Kanana mbele yenu, nao wakachafua inchi.