Leviticus 18:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, nyinyi msifanye mambo hayo, la sivyo nchi hiyo itawatapika kama ilivyolitapika taifa lililokuwa kabla yenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mkiinajisi nchi, itawatapika kama ilivyowatapika mataifa yaliyowatangulia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ili kwamba hiyo nchi isiwatapike na ninyi pia, hapo mtakapoitia unajisi, kama ilivyoitapika hiyo taifa iliyotangulia mbele yenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, nyinyi msifanye mambo hayo, la sivyo nchi hiyo itawatapika kama ilivyolitapika taifa lililokuwa kabla yenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama mkiinajisi nchi, itawatapika kama ilivyowatapika mataifa yaliyowatangulia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama mkiinajisi nchi, itawatapika kama ilivyowatapika mataifa yaliyowatangulia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ili hiyo nchi isiwatapike na ninyi pia, hapo mtakapoitia unajisi, kama ilivyolitapika hilo taifa lililotangulia mbele yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, nyinyi msifanye mambo hayo, la sivyo nchi hiyo itawatapika kama ilivyolitapika taifa lililokuwa kabla yenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nanyi mtakapoyafanya, nchi itawatapika kwa kuichafua, kama ilivyowatapika wamizimu waliokuwako mbele yenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ili kwamba hiyo nchi isiwatapike na ninyi pia, hapo mtakapoitia unajisi, kama ilivyoitapika hiyo taifa iliyotangulia mbele yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, ninyi musifanye mambo hayo, kama sivyo inchi hiyo itawatapika kama vile ilivyolitapika taifa lililokuwa mbele yenu.