Leviticus 18:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wote watakaofanya mambo hayo ya kuchukiza ni lazima watengwe mbali na watu wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Kila mtu atakayefanya mojawapo ya machukizo haya, watu hao ni lazima wakatiliwe mbali na watu wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwani mtu awaye yote atakayefanya machukizo hayo mojawapo, nafsi hizo zitakazoyafanya zitakatiliwa mbali na watu wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wote watakaofanya mambo hayo ya kuchukiza ni lazima watengwe mbali na watu wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kila mtu atakayefanya mojawapo ya machukizo haya, watu hao ni lazima wakatiliwe mbali na watu wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Kila mtu atakayefanya mojawapo ya machukizo haya, watu hao ni lazima wakatiliwe mbali na watu wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwani mtu yeyote atakayefanya mojawapo ya machukizo hayo, nafsi hizo zitakazoyafanya zitakatiliwa mbali na watu wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wote watakaofanya mambo hayo ya kuchukiza ni lazima watengwe mbali na watu wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wote watakaoyafanya matapisho hayo, basi, wao watakaoyafanya watang'olewa kwao walio ukoo wao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwani mtu awaye yote atakayefanya machukizo hayo mojawapo, nafsi hizo zitakazoyafanya zitakatiliwa mbali na watu wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wote watakaofanya mambo hayo ya kuchukiza wanapaswa kutengwa mbali na watu wao.