Leviticus 18:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kamwe usimvunjie heshima baba yako kwa kulala na mama yako aliyekuzaa. Usimwaibishe; yeye ni mama yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Usimvunjie heshima baba yako kwa kukutana kimwili na mama yako. Yeye ni mama yako; usiwe na mahusiano kama hayo naye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utupu wa baba yako, wala utupu wa mama yako, usifunue, maana ndiye mama yako; usifunue utupu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kamwe usimvunjie heshima baba yako kwa kulala na mama yako aliyekuzaa. Usimwaibishe; yeye ni mama yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Usimvunjie heshima baba yako kwa kukutana kimwili na mama yako. Yeye ni mama yako; usiwe na mahusiano kama hayo naye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Usimvunjie heshima baba yako kwa kukutana kimwili na mama yako. Yeye ni mama yako; usiwe na mahusiano kama hayo naye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utupu wa baba yako, wala utupu wa mama yako, usifunue, maana ndiye mama yako; usifunue utupu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kamwe usimvunjie heshima baba yako kwa kulala na mama yako aliyekuzaa. Usimwaibishe; yeye ni mama yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uchi wa baba yako wala uchi wa mama yako usiufunue; aliye mama yako usimfunue uchi wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utupu wa baba yako, wala utupu wa mama yako, usifunue, maana ndiye mama yako; usifunue utupu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usimuvunjie heshima baba yako kwa kulala na mama yako aliyekuzaa. Usimupatishe haya, yeye ni mama yako.