Leviticus 18:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kamwe usimvunjie heshima baba yako kwa kulala na mmoja wa wake zake. Hao ni mama zako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Usikutane kimwili na mke wa baba yako; hiyo itamvunjia heshima baba yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utupu wa mke wa baba yako, usifunue; maana, ni utupu wa baba yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kamwe usimvunjie heshima baba yako kwa kulala na mmoja wa wake zake. Hao ni mama zako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Usikutane kimwili na mke wa baba yako; hiyo itamvunjia heshima baba yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Usikutane kimwili na mke wa baba yako; hiyo itamvunjia heshima baba yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utupu wa mke wa baba yako, usifunue; maana, ni utupu wa baba yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kamwe usimvunjie heshima baba yako kwa kulala na mmoja wa wake zake. Hao ni mama zako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uchi wa mkewe baba yako usiufunue. Kwani ndio uchi wa baba yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utupu wa mke wa baba yako, usifunue; maana, ni utupu wa baba yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usimuvunjie heshima baba yako kwa kulala na mumoja wa wake zake. Hao ni wamama zako.