Leviticus 18:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kamwe usilale na dada yako, awe ni dada yako halisi au dada yako wa kambo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Usikutane kimwili na dada yako, wala binti ya baba yako, au binti ya mama yako, awe amezaliwa katika nyumba hiyo au mahali pengine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utupu wa umbu lako, binti ya baba yako, au binti ya mama yako, kwamba alizaliwa nyumbani mwenu au kwamba alizaliwa kwengine, utupu wa hao usifunue.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kamwe usilale na dada yako, awe ni dada yako halisi au dada yako wa kambo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Usikutane kimwili na dada yako, wala binti wa baba yako, au binti wa mama yako, awe amezaliwa katika nyumba hiyo au mahali pengine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Usikutane kimwili na dada yako, wala binti wa baba yako, au binti wa mama yako, awe amezaliwa katika nyumba hiyo au mahali pengine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utupu wa dada yako, binti ya baba yako, au binti ya mama yako, awe alizaliwa nyumbani mwenu au kwingine, utupu wa hao usifunue.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kamwe usilale na dada yako, awe ni dada yako halisi au dada yako wa kambo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uchi wa umbu lako aliye binti baba yako au binti mama yako, kama amezaliwa nyumbani mwenu au nje, usiufunue uchi wao hao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utupu wa umbu lako, binti ya baba yako, au binti ya mama yako, kwamba alizaliwa nyumbani mwenu au kwamba alizaliwa kwengine, utupu wa hao usifunue.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usilale na dada yako, akuwe ni dada yako, binti wa baba yako au wa mama yako hata kama alizaliwa katika nyumba au pahali pengine.