Leviticus 19:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Usimdhulumu jirani yako wala kumwibia. Mshahara wa mtu aliyeajiriwa usikae kwako usiku kucha hadi asubuhi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Usimdhulumu wala kumwibia jirani yako. “ ‘Usishikilie mshahara wa kibarua usiku kucha hadi asubuhi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usimdhulumu jirani yako, wala kumnyang'anya mali yake; ijara yake aliyeajiriwa isikae kwako usiku kucha hata asubuhi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Usimdhulumu jirani yako wala kumwibia. Mshahara wa mtu aliyeajiriwa usikae kwako usiku kucha hadi asubuhi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Usimdhulumu wala kumwibia jirani yako. “ ‘Usishikilie mshahara wa kibarua usiku kucha hadi asubuhi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Usimdhulumu wala kumwibia jirani yako. “ ‘Usishikilie mshahara wa kibarua usiku kucha hadi asubuhi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usimdhulumu jirani yako, wala kumnyang'anya mali yake; ujira wake aliyeajiriwa usikae kwako usiku kucha hadi asubuhi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Usimdhulumu jirani yako wala kumwibia. Mshahara wa mtu aliyeajiriwa usikae kwako usiku kucha hadi asubuhi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usimkorofishe mwenzio na kumnyang'anya. Mshahara wa kazi, uliyofanyiziwa, usilale nao, mpaka kuche.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usimdhulumu jirani yako, wala kumnyang’anya mali yake; ijara yake aliyeajiriwa isikae kwako usiku kucha hata asubuhi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usimutese mwenzako wala kumwibia. Usikae na mushahara wa mutumishi wako usiku kucha mpaka asubui.